1/6
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 0
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 1
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 2
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 3
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 4
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) screenshot 5
Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) Icon

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Tanzania Tech Media
Trustable Ranking IconНадеждно
1K+Изтегляния
10MBРазмер
Android Version Icon4.1.x+
Андроид версия
2.0(26-02-2021)Това е най-новата версия
-
(0 Прегледи)
Age ratingPEGI-3
How to install
1
Download and open the installation file
2
Unblock AptoideAptoide is a safe app! Just tap on More details and then on Install anyway.
3
Complete the installation and open Aptoide
app-card-icon
ДетайлиПрегледиВерсииИнформация
1/6

Описание на Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

Kupata habari imekuwa ni rahisi sana siku hizi, hii inatokana na kuwepo kwa vyanzo vingi vya habari kiasi kwamba ni lazima utaweza kupata habari kupitia vyanzo hivyo. Lakini wote tunajua ni ngumu sana kupata habari kwa ukamilifu kwa kuwa haiwezekani kutembelea tovuti zote hizo kwa pamoja ndio maana tunakuletea App ya Gazeti.


Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti ya leo pamoja na habari mbalimbali kwa urahisi kutoka tovuti mbalimbali bila Matangazo, Mbali na tovuti app ya Gazeti inakupa uwezo wa kusikiliza radio pamoja na idhaa za kiswahili kutoka nchi mbalimbali.


Gazeti App pia inakupa urahisi wa kuangalia TV mbalimbali za hapa nchini Tanzania na nje ya nchi, kifupi ni kwamba Gazeti App inakupa habari zote za Ndani ya Tanzania kwa haraka na kwa urahisi na bila kuwepo kwa Matangazo. Tunategemea kuongeza vyanzo vingine mbalimbali hivyo hakikisha unapakua app ya Gazeti sasa.


* Unaweza kusoma Habari Kutoka Tovuti kubwa za Habari Tanzania.

* Unaweza Kuangalia Mbalimbali Habari Kutoka Vyanzo vikubwa vya Habari Tanzania.

* Unaweza kusikiliza Radio na kuangalia TV za ndani na nje ya Tanzania.

* Na mengine mengi.....


Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) - Version 2.0

(26-02-2021)
Други версии
Какво новоSehemu Mpya ya Habari Video * Global TV YouTube * Ayo TV YouTube * Wasafi Media YouTube * Bongo 5 YouTube * Azam TV YouTube * MCL Digital YouTube * ITV Tanzania YouTube * TBC Online YouTube * EATV YouTubeSehemu Mpya ya Social Media * Sehemu hii inakuja na vyanzo mbalimbali vya habari kutoka kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na InstagramMaboresho ya MuonekanoMaboresho ya Sehemu ya Michezo Tumeongeza AZAM TVSehemu Mpya ya Jinsi ya Kutumia

There are no reviews or ratings yet! To leave the first one please

-
0 Reviews
5
4
3
2
1
Info Trust Icon
Гарантирано добро приложениеТова приложение е преминало тест за сигурност срещу вируси, злонамерен софтуер и други злонамерени атаки и не съдържа никакви заплахи.

Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo) - APK информация

APK версия: 2.0Пакет: com.gazeti.digitalwebbased
Съвместимост с Android: 4.1.x+ (Jelly Bean)
Разработчик:Tanzania Tech MediaПолитика за поверителност:https://tanzaniatech.one/privacy-policy.htmlРазрешения:28
Име: Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)Размер: 10 MBИзтегляния: 68Версия : 2.0Дата на пускане: 2021-02-26 13:33:53Мин. екран: SMALLПоддържано CPU:
ID на пакет: com.gazeti.digitalwebbasedSHA1 подпис: 1F:F6:91:BF:92:D5:19:E3:56:43:01:04:4C:87:65:62:EA:58:DD:66Разработчик (CN): AndroidОрганизация (O): Google Inc.Местен (L): Mountain ViewДържава (C): USОбласт/град (ST): California

Latest Version of Gazeti - Magazeti ya Leo (Bila Matangazo)

2.0Trust Icon Versions
26/2/2021
68 изтегляния10 MB Размер

Други версии

1.6Trust Icon Versions
22/5/2020
68 изтегляния8.5 MB Размер
1.5Trust Icon Versions
11/5/2020
68 изтегляния8.5 MB Размер
1.4Trust Icon Versions
9/2/2020
68 изтегляния7.5 MB Размер

Apps in the same category

You may also like...